Rapper wa kike kutoka Marekani, Azealia Banks amesaini mkataba na kampuni mpya ya RZA Records.

Kabla ya kusaini mkataba na lebo ya Epic Records, Banks aliwahi kuwa
chini ya lebo kadhaa zikiwemo XL Records, Interscope Records, Polydor
Records na Prospect Park Records.
“I’m FINALLY getting a record deal :),” ameandika kwenye mtandao wake
wa Facebook. “I’m signing with RZA. He and I have an excellent work
chemistry. Filming Coco with him was loads of fun!! Now I get to make
music with him!!! Business and Pleasure is imminent.”
Hivi karibuni Azealia anatarajia kuachia albamu yake mpya aliyoipa
jina la ‘Business and Pleasure’ japo haijajulikana siku maalum ya
kutoka.